Waziri Mkuu Majaliwa amezungumza na Balozi wa Marekani Dkt. Donald J. Wright.

Waziri Mkuu Majaliwa amezungumza na Balozi wa Marekani Dkt. Donald J. Wright.

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu na Balozi Wright wamezungumzia namna nzuri ya kuimarisha ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili katika Sekta za

May be an image of 3 people and indoor
May be an image of 6 people, people sitting and indoor
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam.
May be an image of 4 people and people sitting

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu na Balozi Wright wamezungumzia namna nzuri ya kuimarisha ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili katika Sekta za Teknolojia, Uwekezaji, Afya, Biashara, Utalii, Kilimo pamoja na sekta ya usafirishaji.

Aidha, Waziri Mkuu ameishukuru Serikali ya Marekani kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Tanzania kwa muda mrefu katika sekta mbalimbali za kimaendeleo.

Kwa upande wake balozi Wright amesema Serikali ya Marekani itaendelea kushirikiana na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumii, kijamii na maendeleo kwa ujumla.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »