RC MTAKA AWATAKA WAKUU WA SHULE KUWAPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO BILA ADA

RC MTAKA AWATAKA WAKUU WA SHULE KUWAPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO BILA ADA

Na Mwandishi Wetu-DodomaJuni 17  2022 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka amewataka wakuu wa shule mkoani hapa kuendelea kuwapokea wanafunzi wa shule bila ya kujali Ada wala michango ya shule mpaka hapo waraka wa kutolipa Ada utakapotolewa.  Agizo hilo amelitoa leo jijini Dodoma wakati wa kikao  cha wakuu wa shule kilichofanyika kwenye ukumbi wa

Na Mwandishi Wetu-DodomaJuni 17  2022


Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka amewataka wakuu wa shule mkoani hapa kuendelea kuwapokea wanafunzi wa shule bila ya kujali Ada wala michango ya shule mpaka hapo waraka wa kutolipa Ada utakapotolewa. 


Agizo hilo amelitoa leo jijini Dodoma wakati wa kikao  cha wakuu wa shule kilichofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya  mkuu wa mkoa dodoma.
Aidha  Mtaka  amewataka wakuu wa shule wasiwalazimishe watoto kununua vitu kwenye maduka ya shule.                       

Mtaka Amesema  michango yote  ya shule hisitofautiane na shule zingine na michango  hisizidii 150000/= Ili kumsaidia Mtoto wa hali ya chini aweze kumudu michango huo. Pamoja na hayo ameomba wakuu hao wasikwanzike Kwa mabadiliko haya  ila washirikiane na kuwasaidia watoto wasiojiweza Ili watoto hao wapate elimu.


KWa upande wake Mkuu wa shule ya sekondari Msakwalo  Halberto   Virus Kaliwabu Ameiomba Serikali kuongeza walimu kwani hapo mawazo waliajiri walimu wakujitolea hivyo kutokana na Ada kutolewa kunachangamoto ya walimu kuendelea kujitolea.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »