WAZIRI NDAKI AZIAGIZA RANCHI ZA TAIFA KUONGEZA UBORA WA MIFUGO

WAZIRI NDAKI AZIAGIZA RANCHI ZA TAIFA KUONGEZA UBORA WA MIFUGO

Na Barnabas Kisengi, Dodoma Waziri wa Mifungo na Uvuvi Mh. Mashimba Ndaki Amesisitiza viongozi wa bodi ya kampuni ya ranch za  Taifa NARCO  kuongeza ubora wa mifungo, pamoja na utendaji kazi wa kampuni kutoa elimu kwa wafugaji wadogo, kufyeka vichaka vya malisho ya mifungo na kupanda majani yatakayosaidia mifungo kupata malisho Bora. Amesema hayo   kwenye

Na Barnabas Kisengi, Dodoma


Waziri wa Mifungo na Uvuvi Mh. Mashimba Ndaki Amesisitiza viongozi wa bodi ya kampuni ya ranch za  Taifa NARCO  kuongeza ubora wa mifungo, pamoja na utendaji kazi wa kampuni kutoa elimu kwa wafugaji wadogo, kufyeka vichaka vya malisho ya mifungo na kupanda majani yatakayosaidia mifungo kupata malisho Bora.


Amesema hayo   kwenye uzinduzi wa bodi ya kampuni ya ranch za Taifa  NARCO jijini Dodoma.


Waziri NDAKI amesema lengo la serikali ni kufanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya mifungo.

Serikali ya Awamu wa sita imetoa budget ya bilioni 268 za mifungo na uvuvi.ili kuleta maendeleo maendeleo kwenye sekta ya mifungo na uvuvi.


Kwa upande wake mwenyekiti wa bodo ya kampuni ya ranch za Taifa,  Cyprin John Luhemeja. amemuhakikishia waziri wa mifungo na uvuvi kumpa matokeo ya mabadiliko ya kampuni hiyo baada ya siku 100 ya utendaji wa kazi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »