AZAM FC WANASA SAINI YA SOPU

AZAM FC WANASA SAINI YA SOPU

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman Sopu kwa ada ya uhamisho ya Tsh Milioni 100 kwa mkataba wa miaka miwili. Awali Simba SC ilitajwa kupanda dau kufikia Tsh milioni 120 lakini walionekana kuchelewa baada ya Wanalambalamba kuwazidi kete.@simbasctanzania @azamfcofficial JfiveSports

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman Sopu kwa ada ya uhamisho ya Tsh Milioni 100 kwa mkataba wa miaka miwili.

Awali Simba SC ilitajwa kupanda dau kufikia Tsh milioni 120 lakini walionekana kuchelewa baada ya Wanalambalamba kuwazidi kete.
@simbasctanzania @azamfcofficial

JfiveSports

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »