Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022

Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana Hizi

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.

Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana

Hizi hapa shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022

  1. Kemebos Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi.
  2. Kisimiri Sekondari Arusha – Shule ya Serikali.
  3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
  4. Tabora Girls Tabora – Shule ya Serikali
  5. Ahmes Sekondari Pwani – Shule ya Binafsi
  6. Dareda Sekondari Manyara – Shule ya Serikali
  7. Nyaishozi Sekondari, Kagera – Shule ya Binafsi
  8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
  9. Mkindi, Tanga – Shule ya Serikali
  10. Ziba, Tabora – Shule ya Serikali
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »