KATIBU MKUU KADIO AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA WIZARA KUJADILI UTENDAJI KAZI, JIJINI DODOMA, LEO JULAI 5, 2022

KATIBU MKUU KADIO AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA WIZARA KUJADILI UTENDAJI KAZI, JIJINI DODOMA, LEO JULAI 5, 2022

.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo, katika Kikao cha Menejimenti cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo Julai 5, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo, katika Kikao cha Menejimenti cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo Julai 5, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kayuni (kushoto), akimkabidhi nyaraka za ofisi, Mkurugenzi Mpya wa Wizara hiyo, Miriam Mmbaga, katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara kilichojadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi, jijini Dodoma, leo Julai 5, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (katikati), akimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Miriam Mmbaga, alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Menejimenti cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo Julai 5, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (katikati), akimsikiliza aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Emmanuel Kayuni, alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Menejimenti cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kazi kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo Julai 5, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (katikati), Mkurugenzi Mpya wa Utawala na Rasilimali Watu (DAHRM), Miriam Mmbaga (kushoto) na aliyekuwa Mkurugenzi wa Wizara hiyo, Emmanuel Kayuni (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo, baada ya Kikao cha Menejimenti cha kujadili masuala ya utendaji kazi kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo Julai 5, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »