Mshambuliaji wa klabu ya Simba Msenegal Pape Ousmane Sakho ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka 2022 la Afrika katika tuzo ya CAF. Mara baada ya kutwaa Tuzo hiyo, Sakho ameonesha furaha aliyonayo moyoni “Asanteni Watanzania, asanteni mashabiki wa Simba, asanteni wachezaji wote, nimefurahi sana.”- Pape Sakho baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Msenegal Pape Ousmane Sakho ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka 2022 la Afrika katika tuzo ya CAF.


Mara baada ya kutwaa Tuzo hiyo, Sakho ameonesha furaha aliyonayo moyoni “Asanteni Watanzania, asanteni mashabiki wa Simba, asanteni wachezaji wote, nimefurahi sana.”- Pape Sakho baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Goli Bora la CAF 2022.

@cafclcc @caf_online
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *