JINSI YA KUJISAJILI TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON

JINSI YA KUJISAJILI TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON

Ni wiki kadhaa sasa tangu Tigo Zantel itangaze rasmi kuwa mdhamini mkuu wa mashindano ya mbio maarufu za Zanzibar International Marathon zinazotarajiwa kufanyika Tarehe 7  Agost 2022 visiwani Zanzibar huku zikiwa na lengo la kutangaza utalii nchini. Akizungumza Leo Agosti 5, zikiwa zimebakia siku mbili kuelekea mbio hizo Mkurugenzi wa Tigo Zantel Kanda ya Zanzibar

Ni wiki kadhaa sasa tangu Tigo Zantel itangaze rasmi kuwa mdhamini mkuu wa mashindano ya mbio maarufu za Zanzibar International Marathon zinazotarajiwa kufanyika Tarehe 7  Agost 2022 visiwani Zanzibar huku zikiwa na lengo la kutangaza utalii nchini.

Akizungumza Leo Agosti 5, zikiwa zimebakia siku mbili kuelekea mbio hizo Mkurugenzi wa Tigo Zantel Kanda ya Zanzibar Ndg. Emmanuel Joshua amewasihi kuendelea kujisajili kwa ajili ya mbio hizo zenye lengo la kutangaza utalii wa nchi 

” Kama mnavyojua Tigo Zantel tuna uzoefu mkubwa katika kudhamini mbio nyingi za kimataifa kwahyo tunatoa wito kwa watu kuendelea kujisajili kwa wingi ili kushiriki mbio hizi , kwa kushirikiana na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  tunawahakikishia washiriki wote usalama wa hali ya juu , kumbuka unaweza kununua tiketi yako kupitia lipa kwa simu namba  5121222  Au  Piga*150*01# au tumia Tigo Pesa app kwa kuscan chap kirahisi.     

Na    Namba za kukimbia zimeanza kutolewa tangu  tar 1 Agosti katika vituo mbalimbali kama Catalunya-in-Zanzibar, Michenzani Mall Zanzibar ,     Just fit kijitonyama Dar Es Salaam pia waweza kutembelea vituo ivyo kwa ajili ya kujipatia tiketi yako , Karibu tukimbie pamoja kuboresha afya Zetu ” Alimalizia. Nao kwa wakati tofautitofauti wakazi wa Zanzibar wametoa hamasa kwa watu kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio hizi za kimataifa huku wakisisitiza kuwa Zanzibar ni Salama atakae na aje .

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »