URAIS WA RUTO KUPINGWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI

URAIS WA RUTO KUPINGWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI

Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto. “Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda, kwa sasa nitapumzika lakini ninafikiria kwenda katika Mahakama ya Haki ya Afrika

Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto.

“Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda, kwa sasa nitapumzika lakini ninafikiria kwenda katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki,” Martha Karua alisema.

Kauli ya Karua inakuja ikiwa ni siku chache tangu jopo la Majaji 7 wakiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome kutupilia mbali Pingamizi lao kwa maelezo kuwa walishindwa kutoa ushahidi wa kuaminika kuwa uchaguzi wa Agosti 9 ulikuwa na udanganyifu

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »