ZIJUE MAMLAKA ZA MALKIA ELIBETH II WA UINGEREZA

ZIJUE MAMLAKA ZA MALKIA ELIBETH II WA UINGEREZA

WATU WENGI WAMEKUWA WAKIJIULIZA YAPI MAMLAKA YA MALKIA ELIZABETH WA UINGEREZA, HEBU BASI AMBATANA NASI KUYAPATIA SASA Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni2.Husafiri bila passport nje ya nchi3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully Ana mtunga mashairi wake maalumu.5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa

WATU WENGI WAMEKUWA WAKIJIULIZA YAPI MAMLAKA YA MALKIA ELIZABETH WA UINGEREZA, HEBU BASI AMBATANA NASI KUYAPATIA SASA

 1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
  2.Husafiri bila passport nje ya nchi
  3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
 2. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
  5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
  6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
 3. Ana uwezo wa kutolipa kodi
  8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
 4. Ni malkia wa Australia pia
 5. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana

 1. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
 2. Anakinga ya kutoshitakiwa
 3. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika m
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »