WAZIRI MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO SEPTEMBA 22, 2022

WAZIRI MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ETHIOPIA, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO SEPTEMBA 22, 2022

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, katika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, kabla ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, yaliyofanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, baada ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, yaliyofanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »