WIZARA YA ELIMU KUWAKUTANISHA WAATALAMU KUJADILI MABADILIKO YA MITAALA YA ELIMU

WIZARA YA ELIMU KUWAKUTANISHA WAATALAMU KUJADILI MABADILIKO YA MITAALA YA ELIMU

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwakutanisha kwa siku tatu wadau mbalimbali wa sekta ya elimu katika mkutano wa kujadili mapitio ya sera na mafunzo ya mwaka 2014 na mabadiliko ya mitaala ya elimu. Majadiliano hayo yatatokana na hatua iliyofikiwa katika mapitio ya Sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi kutoka

Na Barnabas Kisengi-Dodoma


Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwakutanisha kwa siku tatu wadau mbalimbali wa sekta ya elimu katika mkutano wa kujadili mapitio ya sera na mafunzo ya mwaka 2014 na mabadiliko ya mitaala ya elimu.


Majadiliano hayo yatatokana na hatua iliyofikiwa katika mapitio ya Sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi kutoka kwa wadau kupitia mikutano mbalimbali.


Akizungumza na waandishi wa habari  Septemba 25,2022 jijini Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kuwa Mkutano huo utaanza Septemba 26 mpaka 28,2022 jijini Dodoma.


Prof.Mkenda amesema kuwa Mkutano huo unajumuisha wahadhiri,waajiri,wadau wa maendeleo,taasisi za umma na binafsi,taasisi za dini,taasisi zisizo za Kiserikali,taasisi zinaohusika na uendeshaji wa lugha,Jumuiya za kitaaluma,Taasisi za Sayansi na Utafiti na timu ya Zanzibar inayopitia Sera na mitaala ikiongozwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »