HABARI PICHA – MASAUNI AWATAKA WATENDAJI WAPYA CCM KUFUATA MAADILI YA CHAMA, KUBUNI MIRADI YA MAENDELEO

HABARI PICHA – MASAUNI AWATAKA WATENDAJI WAPYA CCM KUFUATA MAADILI YA CHAMA, KUBUNI MIRADI YA MAENDELEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kufuata maadili ya chama na kuwa wabunifu wamiradi mbalimbali ya

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kufuata maadili ya chama na kuwa wabunifu wamiradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo. 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini, Unguja, Zanzibar, Talib Ally Talib kabla ya kuanza kwa Mafunzo Elekezi kwa Watendaji wa CCM Jimbo la Kikwajuni, jimboni humo, leo Oktoba 6, 2022. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu, Najma Giga. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akifurahia jambo na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, Nassor Ali Jazeerah, wakati wa Mafunzo Elekezi kwa Watendaji wa CCM Jimbo la Kikwajuni, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »