Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUH HASSAN ameongoza kikao cha kamati kuu CCM Taifa January 14 2023 Jijini Dar es salaam ambapo katika kikao hicho kimefanya mabadiliko ya nafasi mbalimbali za Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa. Katika mabadiliko ya nafasi hizo za juu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUH HASSAN ameongoza kikao cha kamati kuu CCM Taifa January 14 2023 Jijini Dar es salaam ambapo katika kikao hicho kimefanya mabadiliko ya nafasi mbalimbali za Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa.
Katika mabadiliko ya nafasi hizo za juu za uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa amewateuwa wafuatao kushika nafasi hizo Katika Chama cha Mapinduzi CCM Taifa ni kama ifuatavyo walio teuliwa ni
Daniel Chongolo – Katibu Mkuu
Anamringi Macha – Naibu Katibu Mkuu Bara
Said Mohamed Dimwa-Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Ndugu Sophia Mjema-Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
Dkt. Frank Haule-Katibu wa Uchumi na Fedha
Mbarouk Nassor Mbarouk-Mkuu wa Idara ya Kimataifa
Issa Haji Gavu-Idara ya Organaizeisheni
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *