In Habari , Kimataifa , Kitaifa January 19, 2023 39 Views Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Congress Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Congress Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Congress Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uswizi, Mhe. Alain Berset mara baada ya mazungumzo katika Ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na wawekezaji wakati wakitazama video ya kuitangaza Tanzania katika sekta mbalimbali za uwekezaji kwenye mkutano uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.
Translate »
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *