Rais Dkt. Samia amezungumza na muigizaji maarufu wa filamu Idris Elba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na muigizaji maarufu wa filamu kutoka Uingereza, Idris Elba ambaye pia ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa International Fund for Agricultural Development (IFAD) alipokuwa Davos nchini Uswizi Januari 20, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »