SIMBA SC πΉπΏ vs π²π¦ WYDAD Casablanca AL AHLY πͺπ¬ vs π²π¦ RAJA Casablanca CR BELOUIZDAD π©πΏ vs πΏπ¦ MAMELODI Sundowns JS KABYLIE π©πΏ vs πΉπ³ ESPERANCE Tunis Klabu ya Simba SC ya Tanzania imepewa mfupa mgumu kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupangwa dhidi ya Bingwa mtetezi wa CAFCL, Wydad
SIMBA SC πΉπΏ vs π²π¦ WYDAD Casablanca
AL AHLY πͺπ¬ vs π²π¦ RAJA Casablanca
CR BELOUIZDAD π©πΏ vs πΏπ¦ MAMELODI Sundowns
JS KABYLIE π©πΏ vs πΉπ³ ESPERANCE Tunis
Klabu ya Simba SC ya Tanzania imepewa mfupa mgumu kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupangwa dhidi ya Bingwa mtetezi wa CAFCL, Wydad Casablanca ya Morocco. Simba SC itaanzia nyumbani kutokana na kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi C.
Al Ahly ya Misri imepangwa dhidi ya vinara wa kundi C Raja Casablanca huku Al Ahly ikianzia nyumbani kutokana na kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi lake.
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imepangwa dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria huku ikianzia ugenini.
Esperance ya Tunisia itaanzia ugenini kuikabili JS Kabylie ya Algeria.
Mshindi wa matokeo ya jumla ya nusu fainali ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca atakutana na mshindi wa Mamelodi Sundowns dhidi ya CR Belouizdad.
Mshindi wa jumla kati ya Al Ahly dhidi ya Raja Casablanca atakutana na mshindi wa jumla kati ya Esperance dhidi ya JS Kabylie.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *