HABARI PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI.

HABARI PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023. Waziri Mkuu,

Inaweza kuwa picha ya Watu 5, watu wanakaa na ndani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023.
Inaweza kuwa picha ya Watu 4, watu wanakaa na ndani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023.
Inaweza kuwa picha ya Watu 5, watu wanakaa na ndani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba (Kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako (Katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »