RAIS DKT.MWINYI AMEKABIDHI GARI NA MILIONI 5 KWA WASHINDI WA QURAN .

RAIS DKT.MWINYI AMEKABIDHI GARI NA MILIONI 5 KWA WASHINDI WA QURAN .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Sekta binafsi Zanzibar kuwalipa mishahara watumishi wao wa sekta hizo leo na kesho kabla ya Sikukuu ya Idd. Ameyasema hayo leo tarehe 19 Aprili 2023 katika fainali za mashindano ya Quran kwa njia ya Tar-til yalioandaliwa na Shirika la utangazaji Zanzibar

Inaweza kuwa picha ya Watu 6 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 3, jukwaa na maandishi yanayosema 'PRZ IKHLAS'
Inaweza kuwa picha ya Watu 5 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 8 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 5 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 4 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 4 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 2 na jukwaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Sekta binafsi Zanzibar kuwalipa mishahara watumishi wao wa sekta hizo leo na kesho kabla ya Sikukuu ya Idd.

Ameyasema hayo leo tarehe 19 Aprili 2023 katika fainali za mashindano ya Quran kwa njia ya Tar-til yalioandaliwa na Shirika la utangazaji Zanzibar (ZBC) kwa kushirikiana na ofisi ya Mufti mkuu Zanzibar yaliyofanyika ukumbi wa Golden Tulip Airport, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Aidha Rais Alhaji Dk.Mwinyi amewakumbusha Wazazi na Walezi katika kipindi hiki cha sasa kukabiliana na vitendo vya mmong’onyoko wa maadili kwa kuwaweka karibu Watoto na kusimamia nyendo zao katika kuwaandaa Vijana kuwa raia wema na wenye hofu kwa Mwenyezi Mungu.

Rais Dk.Mwinyi amekabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza Said Juma kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi gari Toyota Alphard . Mshindi wa pili Nassor Kombo zawadi ya pikipiki na mshindi wa tatu Zakariya Sheha shilingi milioni mbili .

Pia Rais Dk.Mwinyi ametoa shilingi milioni tano kwa mshindi wa nne mpaka wa nane wa fainali hizo.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »