RAIS DKT.MWINYI AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA CANADA NCHINI.

RAIS DKT.MWINYI AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA CANADA NCHINI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas aliyefika Ikulu Zanzibar leo tarehe 03 Mei 2023. Katika mazungumzo hayo Rais Dk. Mwinyi amesema Serikali umewekeza katika sekta ya afya na elimu ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora hasa vijijini. Pia, Serikali

Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, jukwaa na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 6 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas aliyefika Ikulu Zanzibar leo tarehe 03 Mei 2023.

Katika mazungumzo hayo Rais Dk. Mwinyi amesema Serikali umewekeza katika sekta ya afya na elimu ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora hasa vijijini.

Pia, Serikali inazingatia kukuza huduma ya afya ya kinga kwa mama na mtoto na mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukiza.Aidha, Serikali imeweka kipaumbele cha kujenga uwanja mpya wa ndege (Terminal 4) ili kuimarisha miundombinu hususan inayohusiana na utalii, ambapo ndio sekta muhimu ya uchumi Zanzibar.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »