Licha ya kusaliwa na michezo kadhaa ya Ligi Kuu Bara, Simba inaelekea kuumaliza Msimu wa 2022/23 bila taji baada ya kufungwa na Azam FC goli 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam kwenye Uwanja wa Nangwanda, #Mtwara AzamFC imepata magoli yake kupitia kwa #LusajoMwaikenda na #PrinceDube wakati #Simba ikipata goli kupitia kwa


Licha ya kusaliwa na michezo kadhaa ya Ligi Kuu Bara, Simba inaelekea kuumaliza Msimu wa 2022/23 bila taji baada ya kufungwa na Azam FC goli 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam kwenye Uwanja wa Nangwanda, #Mtwara
AzamFC imepata magoli yake kupitia kwa #LusajoMwaikenda na #PrinceDube wakati #Simba ikipata goli kupitia kwa #SadioKanoute
Ushindi huo unaipeleka Azam FC katika Fainali ambapo inasubiri mshindi wa mchezo wa #Yanga na #SingidaBigStars
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *