UTEUZI.

UTEUZI.

Inaweza kuwa picha ya maandishi yanayosema 'E-mail: es.ranzibarlkuluzanzibar.go.tr Simu am. 2233675/2231823 SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR OFISI YA BARAZA LA MAPINDUZI S.L.P. 437, ZANZIBAR- TANZANIA 18 MEI, 2023 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Mhandisi Ali Said Bakari kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi Zanzibar. Mhandisi Ali ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Mji Mkongwe, Zanzibar. Uteuzi huo unaanza leo tarehe 18 Mei, 2023. (Mhandisi Zena A. Said) KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI ΝΑ KATIBU MKUU KIONGOZI, ZANZIBAR.'
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »