Na Mwandishi Wetu. Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo ipo katika viwanja vya bunge,ikiwa na banda mahususi litoalo huduma na bidhaa zao mbalimbali kwa wabunge , wafanyakazi na wateja mbalimbali ambapo kubwa zaidi ni uwepo wa simu janja ambayo kila mtanzania anaweza kujipatia simu kwa mkopo wa malipo ya Tsh 1000/siku

Na Mwandishi Wetu.
Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo ipo katika viwanja vya bunge,ikiwa na banda mahususi litoalo huduma na bidhaa zao mbalimbali kwa wabunge , wafanyakazi na wateja mbalimbali ambapo kubwa zaidi ni uwepo wa simu janja ambayo kila mtanzania anaweza kujipatia simu kwa mkopo wa malipo ya Tsh 1000/siku ili aweze kuishi maisha ya kidigitali sambamba na kuendelea kufikisha huduma za mawasiliano maeneo ya vijijini kwa ushirikiano kati yao na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *