MAMA MARIAM MWINYI AMEFUNGUA USAJILI CRDB BANK MARATHON 2023.

MAMA MARIAM MWINYI AMEFUNGUA USAJILI CRDB BANK MARATHON 2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) ametoa wito kwa Watanzania kujisajili kwa wingi katika msimu wa 4 wa mbio za CRDB Bank Marathon Mwaka 2023 ili kufanikisha malengo ya kusaidia sekta ya afya nchini. Mgeni Rasmi katika mbio atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza

Inaweza kuwa picha ya Watu 6, watu wanacheza tenisi na watu wanacheza gofu
Inaweza kuwa picha ya Watu 3, nyasi, chumba cha habari, jukwaa na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 6, watu wanacheza gofu na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 4, chumba cha habari na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 3, chumba cha habari, jukwaa na maandishi

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) ametoa wito kwa Watanzania kujisajili kwa wingi katika msimu wa 4 wa mbio za CRDB Bank Marathon Mwaka 2023 ili kufanikisha malengo ya kusaidia sekta ya afya nchini.

Mgeni Rasmi katika mbio atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na zitafanyika Agosti 13 mwaka huu katika Viwanja vya The Green Oysterbay Dar es Salaam.

Sehemu ya fedha zitakazopatikana katika mbio hizo zitasaidia ujenzi wa kituo cha afya cha Mama na Mtoto Zanzibar .

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »