Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amempongeza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali wa Tatu wa Tanzania . Ameungana na Watanzania na kumtakia heri kwa majukumu yake mapya katika Kanisa Katoliki nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amempongeza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali wa Tatu wa Tanzania .
Ameungana na Watanzania na kumtakia heri kwa majukumu yake mapya katika Kanisa Katoliki nchini