Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kumsalia Marehemu Bi Maryam Mwinyi Khatib katika Masjid Taqwa Mwanakwerekwe, aliyefariki dunia mapema leo asubuhi. Marehemu Bi Maryam ni Mama yake Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe.Yahya Rashid. Bi Maryam amezikwa leo Muungoni Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kumsalia Marehemu Bi Maryam Mwinyi Khatib katika Masjid Taqwa Mwanakwerekwe, aliyefariki dunia mapema leo asubuhi.
Marehemu Bi Maryam ni Mama yake Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe.Yahya Rashid.
Bi Maryam amezikwa leo Muungoni Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.