Shukrani kwa Ubalozi wa Tanzania, Kigali Rwanda. Tumepata mapokezi mazuri, ushiriki mkubwa katika maandalizi ya tukio la Hisani, maandalizi ya tukio la ukabidhi wa jezi kwa Rais Kagame, maandalizi ya kutembelea kumbukumbu za mauaji ya halaiki na leo chakula cha mchana hapa ubalozini kwetu. Tunatoa Shukrani za dhati kwa Ubalozi na Serikali yetu. Shukrani kwa

Shukrani kwa Ubalozi wa Tanzania, Kigali Rwanda. Tumepata mapokezi mazuri, ushiriki mkubwa katika maandalizi ya tukio la Hisani, maandalizi ya tukio la ukabidhi wa jezi kwa Rais Kagame, maandalizi ya kutembelea kumbukumbu za mauaji ya halaiki na leo chakula cha mchana hapa ubalozini kwetu. Tunatoa Shukrani za dhati kwa Ubalozi na Serikali yetu.

Msafara wa Klabu yetu kueleka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa mjini Kigali ulianzia kwenye kituo cha kumbukumbu cha Kigali Genocide Memorial ambapo tulipata wasaa wa kuomboleza na kuwakumbuka wote walioathirika na Mauaji wa Kimbari yaliyotokea mwaka 1994.

“Tunashukuru Mungu kwa kurejea salama Tanzania na leo Wachezaji watarudi kambini kuanza maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo, Jumatano ya tarehe 20.09.2023”
Shukrani kwa Rais wetu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo pamoja na Shirika la Ndege Tanzania, Air Tanzania
Tumeiwakilisha vyema nchi yetu na tunaahidi kufanya vizuri zaidi kwenye mchezo wetu wa marudiano.
Ally Kamwe