Malawi yawapoteza mawaziri wawili leo kutokana na corona.

Malawi yawapoteza mawaziri wawili leo kutokana na corona.

Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wake wawili kufariki dunia kutokana na Covid 19. Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao ambao ni na Waziri wa uchukuzi Sidik Mia wamefariki ndani ya masaa mawili tofauti. Mwishoni mwa juma, rais wa nchi hiyo Lazarus Chakwera alitoa hotuba maalumu kwa njia ya

Waziri wa serikali za mitaa, Lingson Belekanyama.
Waziri wa uchukuzi Sidik Mia

Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wake wawili kufariki dunia kutokana na Covid 19.

Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao ambao ni na Waziri wa uchukuzi Sidik Mia wamefariki ndani ya masaa mawili tofauti.

Mwishoni mwa juma, rais wa nchi hiyo Lazarus Chakwera alitoa hotuba maalumu kwa njia ya radio kwa taifa akitoa wito wa kuheshimiwa kwa hatua zilizowekwa za kupambana na maambukizi ya Covid 19 kufuatia ongezeko kubwa katika vifo na maambukizi ya virusi hivyo. Bw Chakwera anatarajiwa kutoa hotuba nyingine kwa taifa baadae leo, kwa mujibu wa Kazako.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »