Wananchi watakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa Covid 19

Wananchi watakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa Covid 19

Na Barnabas kisengi Dodoma February 24 2021 Wananchi wa Kata ya kilimani jijini Dodoma wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili Waweza kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa covid 19 kwa kunawa mikono kwa maji tiririka kusafisha mazingira yanayoishi pia kujifukizia na kutumia dawa asili Kama wanavyoelekeza wataalamu wa afya. Kauli hiyo imetolewa na

Na Barnabas kisengi Dodoma February 24 2021


Wananchi wa Kata ya kilimani jijini Dodoma wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili Waweza kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa covid 19 kwa kunawa mikono kwa maji tiririka kusafisha mazingira yanayoishi pia kujifukizia na kutumia dawa asili Kama wanavyoelekeza wataalamu wa afya.

Kauli hiyo imetolewa na diwani wa Kata ya kilimani Mh. Neema Mwaluko wakati wa akizungumza na Jfive blog wakati akiongelea juu ya kuwapa tahadhari  wananchi wa Kata yake ya kilimani kufuata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya katika kipindi hichi

Diwani wa Kata ya Kilimani Mh. Neema Mwaluko


“kwa kweli wananchi wangu wachukue tahadhari kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya kwa kuhakikisha kwenye Nyumba zao wanakuwa na ndoo ya kunawia mikono kwa maji tiririka, kufanya mazoezi,kujifukizia,kuvaa Natalia na kuhakikisha wanakuwa wanafanya usafi katika maeneo yao”amesema diwani neema


Aidha diwani neema amewataka wananchi wake kuendelea na maombi kwa kila moja na dini yake na kuondoa hofu katika kipindi hichi huku wakihakikisha wanafuata taratibu zote zinazotolewa na wataalamu wa afya katika kipindi hichi 

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »