Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi Jirani cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho kimefunguliwa rasmi jana tarehe 24 Februari 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku,





Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi Jirani cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho kimefunguliwa rasmi jana tarehe 24 Februari 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku, abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo zaidi ya 280, Mabasi 1000 wakati wa usiku, Ofisi za Mabenki,huduma za simu, Hoteli, Ofisi za Uhamiaji, Maduka pamoja na Ofisi mbalimbali.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *