Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Kati imefanya ukaguzi katika maduka ya dawa na vifaa tiba katika kijiji cha Mpendoo kilichopo katika ya Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. Ukaguzi huo ulifanikisha kukamata dawa za Serikali aina saba (7) zenye thamani ya Tsh. 265,000/= katika duka la dawa muhimu liitwalo ROGECHU. Mtuhumiwa amekamatwa na


Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Kanda ya Kati imefanya ukaguzi katika maduka ya dawa na vifaa tiba katika kijiji cha Mpendoo kilichopo katika ya Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.
Ukaguzi huo ulifanikisha kukamata dawa za Serikali aina saba (7) zenye thamani ya Tsh. 265,000/= katika duka la dawa muhimu liitwalo ROGECHU.
Mtuhumiwa amekamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi Chemba ambapo anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Taratibu nyingine za kumfikisha mtuhumiwa mahakamani zinaendelea.
NA KIJOLI CHIKOPA.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *