WAZIRI PROF. NDALICHAKO KUWALIPIA ADA WATOTO WATAKAO FAULU KWA DIVISION ONE

WAZIRI PROF. NDALICHAKO KUWALIPIA ADA WATOTO WATAKAO FAULU  KWA DIVISION ONE

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof.Joyce Ndalichako amesema Watoto wa Kike wanaosoma katika Shule za Serikali (katika Jimbo la Kasulu Mjini) watakaopata Daraja la Kwanza katika kipindi cha miaka mitano ya Ubunge wake, wote atakuwa anawalipia ada ya kidato cha tano na sita. “Kazi kwenu Watoto wa

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof.Joyce Ndalichako amesema Watoto wa Kike wanaosoma katika Shule za Serikali (katika Jimbo la Kasulu Mjini) watakaopata Daraja la Kwanza katika kipindi cha miaka mitano ya Ubunge wake, wote atakuwa anawalipia ada ya kidato cha tano na sita.

“Kazi kwenu Watoto wa Kike kutoka Shule za Serikali (Kasulu Mjini), naanza na hawa saba mwaka huu, mwakani wawe 50, wawe 100, wawe 500, wote nawalipia ada za kidato cha tano na sita, hii ni kwa wale watakaopata Division one”- NDALICHAKO

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »