KMC FC WAREJEA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, KUENDELEA NA MAZOEZI KESHO

KMC FC WAREJEA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, KUENDELEA NA MAZOEZI KESHO

Kikosi cha KMC FC kimerejea jijini Dar es Salaam leo kikitokea mkoani Tanga ikiwa ni baada ya kumalizika kwa mchezo wa jana dhidi ya Coast Union uliopigwa katika uwanja wa Mkwakwani na kumalizika kwa sare ya kutokufungana. KMC FC imerejea Jijini Dar es Salaam ambapo kesho itaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo

Kikosi cha KMC FC kimerejea jijini Dar es Salaam leo kikitokea mkoani Tanga ikiwa ni baada ya kumalizika kwa mchezo wa jana dhidi ya Coast Union uliopigwa katika uwanja wa Mkwakwani na kumalizika kwa sare ya kutokufungana.

KMC FC imerejea Jijini Dar es Salaam ambapo kesho itaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo mwingine wa Ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Ruvu Shooting mchezo utakao chezwa katika uwanja wa Uhuru saa 16: 00 mchana.

KMC FC iliondoka Jijini Dar es Salaa, Machi mbili ambapo iliwasili Jijini Arusha na kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu Machi Nne katika uwanja wa Sheih Amri Abeid dhidi ya Polisi Tanzania mchezo uliomalizika kwa Kino Boys kupoteza kwa kufungwa goli moja kwa bila.

Imetolewa na Christina Mwagala

AFISA HABARI KMC FC

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »