Awamu ya Tano ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli imewezesha ujenzi wa Barabara ya Shekilango yenye urefu wa km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, ikiwa na Upana wa mita 22, njia za watembea kwa miguu, taa za kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya Barabara ya Morogoro na



Awamu ya Tano ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli imewezesha ujenzi wa Barabara ya Shekilango yenye urefu wa km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, ikiwa na Upana wa mita 22, njia za watembea kwa miguu, taa za kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya Barabara ya Morogoro na kupitia mitaa ya Sinza mpaka maungio ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Dar es Salaam ikiwa inapendeza mara baada ya ujenzi wake, kukamilika.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *