Watumishi wa Afya walioiba Dawa za shilingi milioni 13.5 watakiwa kufikishwa Polisi, PCCB na Mahakamani

Watumishi wa Afya walioiba Dawa za shilingi milioni 13.5  watakiwa kufikishwa Polisi, PCCB na Mahakamani

Na Barnabas kisengi songweMarch 11 2021 Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima  amewataka watumishi wa Afya wa Mkoa wa Songwe walioiba dawa za shilingi milioni 13.5 na kurudisha milioni 10.6 wafikishwe Kwenye vyombo vyote vya Sheria ikiwemo Polisi, PCCB na  kisha Mahakamani kwa kadri ya makosa ya kila mmoja. Amesema baada ya hapo wafikishwe kwenye

Na Barnabas kisengi songweMarch 11 2021


Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima  amewataka watumishi wa Afya wa Mkoa wa Songwe walioiba dawa za shilingi milioni 13.5 na kurudisha milioni 10.6 wafikishwe Kwenye vyombo vyote vya Sheria ikiwemo Polisi, PCCB na  kisha Mahakamani kwa kadri ya makosa ya kila mmoja.

Amesema baada ya hapo wafikishwe kwenye mabaraza yao ya kitaaluma.”Vyombo vyote vya kisheria sasa vitahusika na vita dhidi ya wabadhirifu wa bidhaa za dawa”. alisisitiza waziri Dkt gwajima


“Kuna wataalamu wachache wanaitia dowa sekta ya afya hawana uzalendo wala hofu ya mungu sasa wale watumishi wachache wanaojihusisha na wizi wa dawa katika kipindi hichi cha serikali ya awamu ya tano wajuwe hawatafanikiwa tabia yao kwani tuko makini kuwafuatilia  waachane na tabia hiyo”alisisitiza waziri Dkt gwajima

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »