WAZIRI BASHUNGWA ASHUHUDIA MAANDILIZI YA TAMTHILIYA YA ‘TUNU’

WAZIRI BASHUNGWA ASHUHUDIA MAANDILIZI YA TAMTHILIYA YA ‘TUNU’

Na Barnabas Kisengi Dar es salaam Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kiagho Kilonzo jana Machi 14, 2021 wamewatembelea wasanii wakiwa kwenye maandalizi  ya moja ya kipande katika tamthiliya ya Tunu inayoandaliwa chini ya kampuni ya “Jay Film For Life” chini ya Msanii Jennifer

Na Barnabas Kisengi Dar es salaam


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kiagho Kilonzo jana Machi 14, 2021 wamewatembelea wasanii wakiwa kwenye maandalizi  ya moja ya kipande katika tamthiliya ya Tunu inayoandaliwa chini ya kampuni ya “Jay Film For Life” chini ya Msanii Jennifer Kihaka ambayo inayorushwa katika kituo cha televisheni cha Azam TV kupitia Chaneli ya Sinema Zetu.


Wasanii hao wanaendelea na maandalizi ya mojawapo ya kipande cha tamthiliya hiyo ambayo yanafanyika katika Hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.  

Mhe. Bashungwa amefika katika kipengele hicho ili kujionea maandalizi ya kazi za Kitanzania na pia kuweza kujua changamoto wanazopata wasanii wa filamu nchini wakati wa maandalizi ya kazi zao.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »