SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA

SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA

Klabu ya Soka ya Simba ya Tanzania imefuzu kwenda hatua ya robo fainali baada ya kuirarua AS Vita bao 4-1 katika Uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Simba inakusanya jumla ya alama 13 mpaka sasa na itaongoza kundi A bila kujali matokeo ya Mechi za mwisho

Klabu ya Soka ya Simba ya Tanzania imefuzu kwenda hatua ya robo fainali baada ya kuirarua AS Vita bao 4-1 katika Uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

Simba inakusanya jumla ya alama 13 mpaka sasa na itaongoza kundi A bila kujali matokeo ya Mechi za mwisho

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »