Kufuatia hapo jana Aprili 4,2021 Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kumteua Thobias Mwesiga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), leo Aprili 5,2021 uteuzi huo umetenguliwa na kumrudisha kwenye nafasi, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dk. James Mataragio.

Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *