” Meli Nne saccos yapiga hatua kubwa Kimaendeleo Nchini”.Mh. Hemed Suleiman.

” Meli Nne saccos yapiga hatua kubwa Kimaendeleo Nchini”.Mh. Hemed Suleiman.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman aifagilia Meli Nne Saccos kwa kuwa mfano bora wa saccos zilizopiga hatua kubwa Kimaendeleo Nchini. Amesema hayo wakati akiufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Saccos hiyo kwenye ukumbi wa Meli Nne Wilaya ya Mgharibi B.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman aifagilia Meli Nne Saccos kwa kuwa mfano bora wa saccos zilizopiga hatua kubwa Kimaendeleo Nchini.


Amesema hayo wakati akiufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Saccos hiyo kwenye ukumbi wa Meli Nne Wilaya ya Mgharibi B.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »