NA MWANDISHI WETU-DODOMA. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dtk Stephane Ngailo amesema kuwa wataendelea kuhimiza na kuhamasisha wawekezaji kushirikiana na serikali ikiwemo kituo cha uwekezaji ,kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini . Dkt Ngailo Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kituo hiki wakati akielezea mipango ya Taasisi hiyo
NA MWANDISHI WETU-DODOMA.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dtk Stephane Ngailo amesema kuwa wataendelea kuhimiza na kuhamasisha wawekezaji kushirikiana na serikali ikiwemo kituo cha uwekezaji ,kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini .

Dkt Ngailo Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kituo hiki wakati akielezea mipango ya Taasisi hiyo katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumzia namna TFRA itakavyowafikia wakulima wadogo na kuhakikisha kuwa wanapata mbolea iliyobora na kwa wakati,amesema jukumu lao ni kusajili mbolea hizo pamoja na wauzaji.
Dkt Ngailo ameelezea pia namna ambavyo TFRA inavyopata mahitaji ya mbolea kutoka kwa wakulima amesema.
Mamalaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeanzishwa kwa sheria ya Mblolea No.9 ya mwaka ya mwaka 2009 huku ikitekelezwa kwa kanuni zilizotungwa mwaka 2011na kuanza kufanya kazi mwezi Agosti,2012 ikiwa chini ya Wizara ya Kilimo.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *