DODOMA JIJI FC YALIMWA FAINI YA MIL. 1 KWA VITENDO VYA IMANI YA KISHIRIKINA

DODOMA JIJI FC YALIMWA FAINI YA MIL. 1 KWA VITENDO VYA IMANI YA KISHIRIKINA

Mechi Namba 213: Dodoma Jiji FC 0-0 Kagera Sugar Fc Klabu ya Dodoma Jiji FC imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (Milioni Moja) kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina ambapowakati wa mapumziko ya mchezo huo timu ya Kagera ilikuta mlango wachumba chao upo wazi, mayai yakiwa yamevunjwa mlangoni ambapo piachini ulikutwa udi uliochomwa.

Mechi Namba 213: Dodoma Jiji FC 0-0 Kagera Sugar Fc

Klabu ya Dodoma Jiji FC imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (Milioni Moja) kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina ambapowakati wa mapumziko ya mchezo huo timu ya Kagera ilikuta mlango wachumba chao upo wazi, mayai yakiwa yamevunjwa mlangoni ambapo piachini ulikutwa udi uliochomwa.


Adhabu hii imetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 15(54) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.
Pia kamati imetoa Onyo Kali kwa timu hiyo endapo itarudia kufanyavitendo vya aina hiyo katika michezo ijayo, itapewa adhabu ya kutoutumiauwanja wa Jamhuri, Dodoma kama uwanja wao wa nyumbani na watatakiwa kuhamia uwanja mwingine.
Timu ya Dodoma Jiji imekuwa na mfululizo wa matukio yanayoashiria imani za kishirikina na baadhi ya matukio hayo ni kama yafuatayo:

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »