TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA UALIMU NA AFYA

TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA UALIMU NA AFYA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira kwa walimu 6,949 wa shule za Msingi na Sekondari pamoja na ajira 2,726 kwa kada mbalimbali za Afya. Watu wenye sifa wanatakiwa kuomba kuanzia leo Mei 9 hadi 23, 2021 Bonyeza link hapo chini kusoma, Sifa,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira kwa walimu 6,949 wa shule za Msingi na Sekondari pamoja na ajira 2,726 kwa kada mbalimbali za Afya. Watu wenye sifa wanatakiwa kuomba kuanzia leo Mei 9 hadi 23, 2021

Bonyeza link hapo chini kusoma, Sifa, Vigezo na njia ya kutuma maombi

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »