MAKUNDI YA NDENGE YAVAMIA MASHAMBA YA MPUNGA RUVU

MAKUNDI YA NDENGE YAVAMIA MASHAMBA YA MPUNGA RUVU

Makundi ya ndege waharibifu wa mazao yamevamia kwenye mashamba ya mpunga ya Chama Cha Wakulima wa kilimo Cha Mpunga cha Umwagiliaji Ruvu CHAURU na kutishia kupunguza mavuno ya mwaka huu ya zao hilo. Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa CHAURU Victoria Ulotu amesema tangu wiki mbili zilizopita walivamiwa na makundi makubwa ya ndege hao

Makundi ya ndege waharibifu wa mazao yamevamia kwenye mashamba ya mpunga ya Chama Cha Wakulima wa kilimo Cha Mpunga cha Umwagiliaji Ruvu CHAURU na kutishia kupunguza mavuno ya mwaka huu ya zao hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa CHAURU Victoria Ulotu amesema tangu wiki mbili zilizopita walivamiwa na makundi makubwa ya ndege hao waharibifu.

Victoria amesema ndege hao ni hatari kwa ushambulia Mpunga kuanzia unapoanza kuchanua hadi Mpunga unapokauka.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »