Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Abuja nchini Nigeria Mei 28, 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa nchi hiyo, Mhe. Bola Tinubu.
MDAU wa michezo Kibaha Mkoa wa Pwani Mussa Mansoor amemkabidhi Mkuu wa Mkoa Abubakar Kunenge jezi na mipira yenye thamani ya shilingi milioni 25 kwaajili ya michezo ya Wanafunzi wa shule za msingi UMITASHUMTA mkoa wa Pwani.Mansoor ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Pwani na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa