
Na Barnabas Kisengi Dodoma Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria imeonesha kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Ujenzi wa Kiwanda cha Uchapaji wa Nyaraka za Serikali Mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria Mhe. Joseph Mhagama
READ MORE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar Waziri Mkuu,
READ MORE
Na Moreen Rojas Dodoma Serikali ya Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania Imetoa misaada mbalimbali kwa nchi ya Malawi kufuatia nchi hiyo kukumbwa na janga la dhoruba la kimbunga kijulikanacho kama “Tropiki Freddy”. Mkurugenzi wa habari na uhusiano wa jeshi la ulinzi na uhusiano wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Kanali Gaudentius
READ MORE