• Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mwaka wa fedha 2023/2024.

    Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mwaka wa fedha 2023/2024.0

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambayo ndio Mratibu wa ushirikiano nauhusiano baina ya Tanzania na nchi nyingine duniani katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kijamiiimesema kuwa, ziara za viongozi wetu wa kitaifa nje ya nchi zimeliletea taifa mafanikio makubwa yakiuchumi na kijamii.Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Dkt. Stergomena Tax ameyasema

    READ MORE
  • Sekta ya utalii itakuwa sekta mama ya uchumi wa Zanzibar.

    Sekta ya utalii itakuwa sekta mama ya uchumi wa Zanzibar.0

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina azma ya kuendeleza nakufikia hatua kubwa zaidi kuifanya sekta ya utalii kuendelea kuwa sektamama ya uchumi wa Zanzibar kwa miaka mitatu ijayo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyiameyasema hayo kwenye mkutano na wahariri na waandishi wa habari kutokavyombo mbalimbali vya habari, Ikulu,

    READ MORE
  • ZANZIBAR KUPOKEA WAWEKEZAJI KUTOKA QATAR.

    ZANZIBAR KUPOKEA WAWEKEZAJI KUTOKA QATAR.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ziara yake hivi karibuni nchini Qatar alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la tatu la Uchumi Qatar lililofanyika jijini Doha. Ameyasema hayo leo tarehe 30 Mei 2023 katika mkutano wake

    READ MORE
Translate »