- Habari, Kitaifa, Uchumi
- January 5, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kukopa mikopo yenye tija ili kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo itawanufaisha wananchi na kuwaletea maendeleo. Mhe Rais Samia amesema hayo leo tarehe 04 Januari, 2022, mara baada ya kupokea taarifa za Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na
READ MORE- Habari, Kitaifa
- January 5, 2022
READ MOREWatoto waliowahi kukinzana na Sheria mkoani Arusha kwa nyakati tofauti wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii kwao wakiwa wakiwa mahabusu na hatimaye kupata haki zao. Shukrani hizo zimetolewa na mmoja wa Mtoto aliyewahi kukinzana na Sheria Lotoi Laizer kupitia risala ya watoto
READ MORE