
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameunda tume ya watu 14 ambayo itachakata kero na mapendekezo ya wafanya biashara wa soko la kimataifa la Kariakoo. Ameunda tume hiyo leo Jumatano (Mei 17, 2023) wakati alipozungumza na wafanya biashara wa soko hilo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Tume hiyo ambayo imepewa siku 14 kuja na
READ MORE
- Habari, Kitaifa
- May 18, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Minara ya Kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya Kampuni ya Azam Media Ld, leo Mei 18, 2023 jijini Dar es Salaam.
READ MORE
- Habari, Kitaifa
- May 18, 2023
READ MORE