- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Maendeleo Kizimkazi iliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB leo Agosti 28,2021 kwenye Tamasha la Kizimkazi zilizofanyika leo tarehe 28 Agosti 2021 katika Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. Rais wa Jamhuri ya Muungano waREAD MORE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikari inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikiisha sekta ya elimu inapata muelekeo mpana na kutengeneza fursa kwa watoto wa kitanzania kutimiza ndoto zao za kusoma katika ngazi zote mpaka vyuo vikuu. Amesema kuwa katika kufanikisha hilo Serikali imeendelea kuboresha miundombinu kwa shule za msingi, Sekondari pamoja na kuongeza
READ MORENA NYEMO MALECELA – KAGERA Mchungaji Merchedes Mugishagwe Buberwa (45) ambaye ni mkazi wa mtaa wa Kasarani ulioko Kata ya Bakoba Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela na faini ya shilingi milioni moja kwa kila kosa baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ya kwanza chini ya sheria ya
READ MORE