RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Habari za Asubuhi Msomaji wa Jfivetv.com,nakukaribisha kuperuzi yale yaliyoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Machi 15, 2021
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma March 14, 2021 Ikiwa ni siku mbili tu baada ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mh Antony Mavunde na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa chinyoya Bi Faustina Bendera na Diwani wa Kata ya Kilimani na wataalamu kutoka wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA kutembelea na kuona uharibifu mkubwa wa miundombinu
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma WADAU wa Elimu Jumuishi mkoani Dodoma wamesema kuwa mila na desturi za imani potofu bado zinaendelea kufanywa kwa watoto wenye ulemavu na wanajamii,hali ambayo inayowakosesha kupata haki zao za kimsingi kama ilivyo kwa wengine. Baadhi ya haki hizo ni wanazokosa ni pamoja na elimu,matibabu,miundombinu rafiki,burudani,nafasi za uongozi, katika kutoa maoni yao, na
READ MORENa.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Wakristo wameaswa kuendelea kuwa na imani ya miujiza ya Yesu Kristo katika kufanikisha masuala mbalimbali ikiwemo ya kiroho. Wito huo umetolewa jana Machi,13,2021 jijini Dodoma na Dkt.Hery Mhando katika ibaada kuu ya Sabato kanisa la Waadventista Wasabato Kizota iliyokutanisha mitaa miwili ya Kizota na Chang’ombe. Dkt.Mhando amesema kuwa katika Zaburi 91 imesheheni
READ MOREHabari za Asubuhi Msomaji wa Jfivetv.com, nakukaribisha kuperuzi yale yaliyoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania ya leo Jumapili March 14, 2021.
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi watakaokabidhiwa nyumba za vijiji za maafa zilizojengwa Tumbe Kisiwani Pemba na Nungwi kwa Unguja, kuhakikisha nyumba hizo wanazitunza ili zisipoteze haiba yake. Rais Dk. Mwinyi alisema nyumba hizo hivi karibuni zinatarajiwa kuzinduliwa kwa upande wa Unguja ikiwa ni pamoja na Pemba,
READ MORE